Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Someni kwa Sauti kisha muondoke

A E I O U

BA BE BI BO BU
BE BI BO BU BA
BI BO BU BA BE
BU BA BE BI BO

Sasasasa saa ya kwenda kwetu kwa heri mwalimu kwa heri mwalimu tutaonana keshooo......



Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] darasa la kwanza utoto raha sana
 
*Hakuna kitu kinauma kama imefika mwisho wa mwezi huna hela ya kodi ya nyumba halafu anapita mlokole anaimba mbinguni kuna makazi ya bure tena mazuri saña unatamani umuulize je una namba ya dalali yoyote anayemfahamu huko mbinguni akupe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*

CantstopwontStop
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] du nimecheka sana bro
 
Back
Top Bottom