mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kwa kweli nashukuru Mwenye Enzi Mungu niko salama kabisaUmeamkaje mzee wa ini
Kwa kweli nashukuru Mwenye Enzi Mungu niko salama kabisaUmeamkaje mzee wa ini
[emoji106][emoji106][emoji106]Kabisa mkuu upendo upendo amani Amani
Ee bana mechi ya kibabe. Ngoja tumshauri andjul aache kufatilia mlonge ale msosi wa maanaNo mlonge no nini just
Naturally tu hila dr ukila chakula bora lazima mwili uwe na energy ya kufanya chochote
Tatizo la sisi waafrika wengi wetu ni bora chakula sio chakula bora
Kweli kabisaUbinadamu na utu hauuzwi...
[emoji106][emoji106]Kweli kabisa
[emoji106]Baadaye kidogo wadau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mzee naona fikira zake zote zipo kwenye mlonge tuPesa tatizo au wengine wana pesa basi tu wanaona chakula bora ni ushamba wao ni chips vinono vinono kwa sana
Ee bana mechi ya kibabe. Ngoja tumshauri andjul aache kufatilia mlonge ale msosi wa maana
Hahaha mapenz hayana cha uchafuHell to the NO! Yuck!
Gmorning tooGood morning Numbisa