Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pesa tatizo au wengine wana pesa basi tu wanaona chakula bora ni ushamba wao ni chips vinono vinono kwa sana
No mlonge no nini just
Naturally tu hila dr ukila chakula bora lazima mwili uwe na energy ya kufanya chochote
Tatizo la sisi waafrika wengi wetu ni bora chakula sio chakula bora
Ee bana mechi ya kibabe. Ngoja tumshauri andjul aache kufatilia mlonge ale msosi wa maana
 
Pesa tatizo au wengine wana pesa basi tu wanaona chakula bora ni ushamba wao ni chips vinono vinono kwa sana

Ee bana mechi ya kibabe. Ngoja tumshauri andjul aache kufatilia mlonge ale msosi wa maana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mzee naona fikira zake zote zipo kwenye mlonge tu
Wakati akipata chakula bora mlonge autii mguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…