Hahahaa itabidi apate darasa kubwa toka kwako ataelewa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mzee naona fikira zake zote zipo kwenye mlonge tu
Wakati akipata chakula bora mlonge autii mguu
Urembo,inaweza kua kabandika au ni za kwake za asiliDr hii nini kucha za kubandika au
Hahahaa[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Hili lilikuwa kaburi,naona umeamua kulifukua