Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mitandao ya kijamii siku hizi ndio imekuwa njia maarufu ya watu kuwasiliana, kupeana habari na ku-share picha, videos na story mbalimbali zinazohusu maisha na mambo yanayoendelea duniani kila siku. Kwa kutumia mitandao hii ya kijamii sasa unaweza kuwasiliana au kufahamu mambo yanayotokea dunia nzima kwa haraka na ndani ya muda mfupi.
 
Mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Twitter, Instagram, Linkedin n.k .hupata wanachama wapya wanaojiunga kila siku.

Ili kuhakikisha usalama wa watumiaji wake mitandao mingi kama si yote ya kijamii inaruhusu kila mtumiaji kuwa na Account/ Profile moja kwa maana kuwa watumiaji wawili hawawezi kumiliki/ kuwa na Account/Profile moja ila mtumiaji mmoja anaweza kuwa na account/ profile nyingi kadiri apendavyo kwa kutumia majina tofauti tofauti.
 
Madhara/ hasara za kutoka kwenye facebook na mitandao mingine ya kijamii bila ku-log out
Tuesday, November 29, 2016 Technology

Mitandao ya kijamii siku hizi ndio imekuwa njia maarufu ya watu kuwasiliana, kupeana habari na ku-share picha, videos na story mbalimbali zinazohusu maisha na mambo yanayoendelea duniani kila siku. Kwa kutumia mitandao hii ya kijamii sasa unaweza kuwasiliana au kufahamu mambo yanayotokea dunia nzima kwa haraka na ndani ya muda mfupi.

Mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Twitter, Instagram, Linkedin n.k .hupata wanachama wapya wanaojiunga kila siku.

Ili kuhakikisha usalama wa watumiaji wake mitandao mingi kama si yote ya kijamii inaruhusu kila mtumiaji kuwa na Account/ Profile moja kwa maana kuwa watumiaji wawili hawawezi kumiliki/ kuwa na Account/Profile moja ila mtumiaji mmoja anaweza kuwa na account/ profile nyingi kadiri apendavyo kwa kutumia majina tofauti tofauti.

Ili kujiunga kwenye mtandao wa kijamii mtumiaji mpya anatakiwa kujisajili (Sign Up) ambapo anaweka taarifa zake muhimu kama vile Jina, Email au namba ya simu pamoja na taarifa zingine zinazohitajika kwenye mtandao husika, mfano tarehe ya kuzaliwa, jinsia, nchi n.k.
 
Back
Top Bottom