ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
password haiwazuu wajanja kudukua accountLakini kuna kitu kimoja ambacho ni lazima kwa mitandao mingi ya kijamii isipokuwa Whatsapp. Kitu hicho ni Password. Password ni neno la siri ambalo hutumika kulinda account/ profile ya mtumiaji.
Facebook, Twitter, Instagram, Linkedin n.k zinahitaji kila profile/ account ya mtumiaji wake kuwa na password kwa kuwa ndio usalama wa mtumiaji unaomuwezesha kuzuia mtu mwingine yeyote asiyehusika asiweze kuingia (log in) kwenye account/ profile isiyo yake.
jamanpassword haiwazuu wajanja kudukua account
duu nimeandka kibashite bashiteMmh
jaman