anakuwa na uwezo wa kuingia kwenye account/ profile yako ya mtandao wowote wa kijamii ambao huku-log out. Hiyo ni hatari kubwa kwa usalama wa account yako.
Sasa endapo mtu mbaya atafanikiwa kuingia kwenye profile/ account yako ya mtandao wowote wa kijamii tarajia mambo yafuatayo kuweza kutokea;
Kama tujuavyo mitandao ya kijamii inamruhusu mtumiaji wake kuandika na ku-post chochote anachotaka kama vile ujumbe,