Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

anakuwa na uwezo wa kuingia kwenye account/ profile yako ya mtandao wowote wa kijamii ambao huku-log out. Hiyo ni hatari kubwa kwa usalama wa account yako.
Sasa endapo mtu mbaya atafanikiwa kuingia kwenye profile/ account yako ya mtandao wowote wa kijamii tarajia mambo yafuatayo kuweza kutokea;

Kama tujuavyo mitandao ya kijamii inamruhusu mtumiaji wake kuandika na ku-post chochote anachotaka kama vile ujumbe,
 
picha na video bila kujali vitu hivyo vina maadili au havina maadili. Mfano unaweza kupost picha au video za ngono au kumdhalilisha mtu mwingine.

Na kila kinachoonekana kuchapishwa (posted) kwenye account/ profile yako ya mtandao wa kijamii kama vile facebook n.k kinaaminika kuwa kimewekwa na wewe mmiliki wa account/ profile hiyo.
 
Back
Top Bottom