Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa hiyo endapo mtu mbaya ataingia kwenye account/ profile yako ya mtandao wa kijamii atakuwa na uwezo wa ku-post chochote anachotaka na kitachukuliwa kuwa wewe ndio ume-post.

Madhara ya mtu mbaya kuingia kwenye profile/ account yako ya mitandao ya kijamii;
Taarifa zako zote za siri zilizopo kwenye profile ya mtandao huo wa kijamii zitajulikana na pengine kuweza kutumiwa vibaya na mtu huyo mbaya.
 
Mtu huyo mbaya anaweza kutuma ujumbe mbaya kwa marafiki au watu wako wengine wa karibu uliojiunga nao kwenye huo mtandao wa kijamii kama vile Facebook n.k. Mfano anaweza kutuma ujumbe wa kuwatusi au kutoa maneno ya vitisho na itaonekana kuwa wewe ndiye uliyetuma.
Mtu huyo mbaya anaweza kuchapisha (post) vitu visivyofaa kwenye wall (timeline) ya account/ profile yako. mfano anaweza ku-post maneno, picha au videos za uchochezi, matusi, kukashifu au kudhalilisha mtu au watu wengine.
 
Kama post zilizowekwa kwenye profile yako zitakuwa ni za mambo ya kudhalilisha kama vile picha au videos za ngono, basi tarajia hata kama ulikuwa na heshima na ustaarabu kiasi gani, marafiki na watu wengine waungwana na wastaarabu watakaoziona watakushusha thamani na kukudharau. Utaonekana huna maana kwa sababu pia na video za ngono zina mahali pake na sio ku-post ovyo hadharani kwenye mitandao ya kijamii.
 
Back
Top Bottom