Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini hebu sasa piga picha au kufikiria nini kitakutokea endapo kwenye profile/ account yako ya mtandao wa kijamii kama Facebook, Twitter, Instagram, Linkedin n.k kutaonekana post ya maneno, picha au video inayomdhalilisha kiongozi yeyote wa nchi kama vile Rais, Waziri mkuu n.k, au ni post ya uchochezi wa kuvunja amani. Hakika utaingia kwenye matatizo makubwa na vyombo vya usalama kumbe sio wewe uliyepost.
 
Hata kama utajitetea haitokuwa rahisi kukuamini kuwa sio wewe kwa sababu wewe ndio mwenye profile hiyo.

Na mpaka uchunguzi ufanyike ije ibainike kuwa sio wewe uliyepost kitu hicho tayari utakuwa aidha umesota sana rumande au umesumbuliwa sana na vyombo vya usalama.
 
Kwa hiyo ili kuepuka watu wengine wasiweze kuingia kwenye account/ profile yako ya mtandao wowote wa kijamii jitahidi kutunza password yako kwa usiri na umakini mkubwa mtu mwingine asiifahamu na pia jitahidi ku-log out kila wakati unapotoka kwenye profile yako baada ya kumaliza mambo yako. Fanya hivyo bila kujali unatumia simu au computer yako binafsi,
 
simu au computer ya kuazima kwa mtu au computer za public yaani kwenye internet cafe, vyuoni, maofisini, n.k

Jamani nimeamua kuandika post Madhara/ hasara za kutoka kwenye facebook na mitandao mingine ya kijamii bila ku-log out hii ili kuwatahadharisha na kuwakumbusha watumiaji wa mitandao ya kijamii kuhusu umuhimu wa kuwa makini katika kulinda usalama na matumizi ya mitandao hii ya kijamii.
 
Back
Top Bottom