Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa hiyo ili kuepuka watu wengine wasiweze kuingia kwenye account/ profile yako ya mtandao wowote wa kijamii jitahidi kutunza password yako kwa usiri na umakini mkubwa mtu mwingine asiifahamu na pia jitahidi ku-log out kila wakati unapotoka kwenye profile yako baada ya kumaliza mambo yako. Fanya hivyo bila kujali unatumia simu au computer yako binafsi,
 
Ni vizuri kutumia mitandao ya kijamii kwa sababu ina faida zake, lakini ni vizuri zaidi kuhakikisha hatutumii vibaya mitandao hii kama vile kupost matusi, kudhalilisha wengine, kuchafua status za wengine au kuweka jumbe za uchochezi zinazoweza kuhatarisha usalama na amani.
 
Back
Top Bottom