Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mitandao ya kijamii siku hizi ndio imekuwa njia maarufu ya watu kuwasiliana, kupeana habari na ku-share picha, videos na story mbalimbali zinazohusu maisha na mambo yanayoendelea duniani kila siku. Kwa kutumia mitandao hii ya kijamii sasa unaweza kuwasiliana au kufahamu mambo yanayotokea dunia nzima kwa haraka na ndani ya muda mfupi.
 
Mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Twitter, Instagram, Linkedin n.k .hupata wanachama wapya wanaojiunga kila siku.

Ili kuhakikisha usalama wa watumiaji wake mitandao mingi kama si yote ya kijamii inaruhusu kila mtumiaji kuwa na Account/ Profile moja kwa maana kuwa watumiaji wawili hawawezi kumiliki/ kuwa na Account/Profile moja ila mtumiaji mmoja anaweza kuwa na account/ profile nyingi kadiri apendavyo kwa kutumia majina tofauti tofauti.
 
Madhara/ hasara za kutoka kwenye facebook na mitandao mingine ya kijamii bila ku-log out
Tuesday, November 29, 2016 Technology


Mitandao ya kijamii siku hizi ndio imekuwa njia maarufu ya watu kuwasiliana, kupeana habari na ku-share picha, videos na story mbalimbali zinazohusu maisha na mambo yanayoendelea duniani kila siku. Kwa kutumia mitandao hii ya kijamii sasa unaweza kuwasiliana au kufahamu mambo yanayotokea dunia nzima kwa haraka na ndani ya muda mfupi.

Mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Twitter, Instagram, Linkedin n.k .hupata wanachama wapya wanaojiunga kila siku.

Ili kuhakikisha usalama wa watumiaji wake mitandao mingi kama si yote ya kijamii inaruhusu kila mtumiaji kuwa na Account/ Profile moja kwa maana kuwa watumiaji wawili hawawezi kumiliki/ kuwa na Account/Profile moja ila mtumiaji mmoja anaweza kuwa na account/ profile nyingi kadiri apendavyo kwa kutumia majina tofauti tofauti.

Ili kujiunga kwenye mtandao wa kijamii mtumiaji mpya anatakiwa kujisajili (Sign Up) ambapo anaweka taarifa zake muhimu kama vile Jina, Email au namba ya simu pamoja na taarifa zingine zinazohitajika kwenye mtandao husika, mfano tarehe ya kuzaliwa, jinsia, nchi n.k.
 
Lakini kuna kitu kimoja ambacho ni lazima kwa mitandao mingi ya kijamii isipokuwa Whatsapp. Kitu hicho ni Password. Password ni neno la siri ambalo hutumika kulinda account/ profile ya mtumiaji.

Facebook, Twitter, Instagram, Linkedin n.k zinahitaji kila profile/ account ya mtumiaji wake kuwa na password kwa kuwa ndio usalama wa mtumiaji unaomuwezesha kuzuia mtu mwingine yeyote asiyehusika asiweze kuingia (log in) kwenye account/ profile isiyo yake.
 
umuhimu wa password na hasara/ madhara unayoweza kupata endapo password yako ya mtandao wowote wa kijamii itafahamika kwa mtu mwingine hasa mtu mbaya na madhara ya kutoka kwenye mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Twitter, Instagram, Linkedin n.k bila ku-log out.

Wapo watu wengi na pengine inawezekana na wewe ni mmoja kati ya watu hao wenye tabia au mazowea ya kuingia kwenye account/ profile zao za mitandao ya kijamii na baada ya kumaliza shughuli zao humo hutoka bila ya ku-log out kutokana na sababu zifuatazo;
 
Kusahau. Kuna watu wana tabia tu ya kusahau ku-log out baada ya kumaliza shughuli zao kwenye mitandao ya kijamii. Hii ni hatari zaidi kwa wale ambao wanatumia simu au computer za kuazima kwa wenzao au computer za public kama vile kwenye internet cafe, vyuoni, maofisini, n.k ambazo hutumiwa na watu wengi.
 
Kuogopa kushindwa ku-log in tena kwenye profile/ account zao. Hii hutokea kwa watu wanaotumia simu au computer zao binafsi kuingia kwenye mitandao ya kijamii. Inatokea pale ambapo mtu tayari aliingia (log in) kwenye account/ profile yake ya mtandao fulani katika simu au computer yake binafsi halafu baadae akagundua kuwa amesahau password yake na hawezi tena kuikumbuka. Watu wa aina hii huwa wanaogopa kuwa kama aki-log out hataweza tena kuingia kwenye account/ profile yake.
 
Mazowea na kujiamini. Hii ni kwa wale wanaotumia simu au computer zao binafsi. Kwa kuwa muda mwingi wanakuwa na simu au computer zao hujiamini kuwa hata kama haja-log out kwenye account/ profile yake humo kwenye simu au computer yake hakuna anayeweza kuingia. Lakini watu hawa wanafanya kosa kubwa sana kwani wanasahau kuwa simu au computer yake inaweza kupotea au kuibiwa na ikaangukia mikononi mwa mtu mbaya ambaye anafahamu mambo ya mitandao ya kijamii. Amini nakwambia mtu huyo mbaya akiiunga tu internet kwenye hiyo simu au computer yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…