Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mazowea na kujiamini. Hii ni kwa wale wanaotumia simu au computer zao binafsi. Kwa kuwa muda mwingi wanakuwa na simu au computer zao hujiamini kuwa hata kama haja-log out kwenye account/ profile yake humo kwenye simu au computer yake hakuna anayeweza kuingia. Lakini watu hawa wanafanya kosa kubwa sana kwani wanasahau kuwa simu au computer yake inaweza kupotea au kuibiwa na ikaangukia mikononi mwa mtu mbaya ambaye anafahamu mambo ya mitandao ya kijamii. Amini nakwambia mtu huyo mbaya akiiunga tu internet kwenye hiyo simu au computer yako