Niimbe kwa kinyakyusa???Kumbe wajua kuimba eeh?
Hebu niimbie nisikie sauti yako yenye mikwaruzo[emoji6][emoji6]
Mzima mama?Habari ya jumamosi
Kwani hapo uliimba kinyakyusa??Niimbe kwa kinyakyusa???
Mzima sijui weweMzima mama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikuimbie kizungu kwa kinyakyusa utainjoi sana.Nipo vizuri kabisaKwani hapo uliimba kinyakyusa??
Kizungu bhana mana au hata kiswahili