Yaan dah kweli acha nipambane na ndoa yangu maana duh.Hahahahaha. Mzeee wakunyapia Carba
Asanteeeeeesimba hongereni
Pamoja sana shemejiAsanteeeeee
Hapo kwenye Simba ndio kituo toka miaka ya 80Pamoja sana shemeji
sawa mzee wa Man U
Sio mimi, ni mkuu BAKHeee ni kweli ulichezea ban?
Umeona eeeh, wajanja wote wanajua pa kwenda hahahhaHapo kwenye Simba ndio kituo toka miaka ya 80