mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Niaje mkuu mambo vipiMzee wa Liver
Niaje mkuu mambo vipiMzee wa Liver
Toa likes kwanza ndo utapata wateja !!!Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 5 kutoka Million 8 niliyotangaza hapo awali. Karibuni pm tufanye biashara.
Pia nimepata wazo mbadala la kukigawa hichi kiwanja Mara mbili yaani 21 kwa 25 na kuuza 2,500,000.
So kwa atakaevutiwa anaweza kuchagua kununua chote kwa Million 5 au nusu kwa bei niliyotaja hapo juu. Karibuni sana wadau.
Nimelazimika kupunguza bei baada ya kukosa Wateja na ninahitaji pesa ya kuendeleza biashara zangu.
Asanteni wadau kwa ushirikiano wenu
Kwa mawasiliano zaidi 0717079379
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha stooHahahha najua roho inauma sana kuka stoo karibia miezi miwili na kutoka na kutoka huna kitu.
Ya tarime auHivi
Commoro
Na
Morocco
Kama zinataka kufanana? au nishavuta[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sent using Jamii Forums mobile app
ISISSina siri yoyote Mimi nothing I can hide for my Queen
HahahahahaHilo likitokea ujue TZ nzima itakuwa haili kuku
Ngoma nchi 3Huyu fundi safi sana !!!
![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jaribu kuamini kila mmojaSiwezi kupunguza hata Siku moja kwa lipi kwa mfano
Andjul bby kuja huku, i missingi yuu thana jamani.