Mzee wa liver anakuona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shabiki wa Liver hata siku moja hawezi kuikubali Man UTD.
Nijuavyo mimi, shabiki wa Liver umuwekee Jiwe na Man UTD kisha umuambie achague Timu, nakuahidi atachagua Jiwe mbele ya Man UTD.
😀😀😀😀😀
Karibu MkuuWadau wangu Wema nitarudi kutoa Malaiki ya kufa Mtu
HahahahahaShabiki wa Liver hata siku moja hawezi kuikubali Man UTD.
Nijuavyo mimi, shabiki wa Liver umuwekee Jiwe na Man UTD kisha umuambie achague Timu, nakuahidi atachagua Jiwe mbele ya Man UTD.
😀😀😀😀😀
Good nightNaona jii humu, Usiku mwema watu wa Mungu