Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Gr8 kwa kweli!
I'm happy nimemuwezesha mwanafunzi kwenda Canada kusoma
College!
Ameondoka jana na Swiss Air!
Naona raha sana sana!
Sasa nimekaa naangalia Bahari yangu!
Safi sana my love moyo wa upendo na kijitolea vidumu ndani yako
Mwenye Enzi Mungu aendelee kukupa baraka tele na amani ya moyo wako
AMUN RA
 
IMG_3761.JPG
 
Safi sana my love moyo wa upendo na kijitolea vidumu ndani yako
Mwenye Enzi Mungu aendelee kukupa baraka tele na amani ya moyo wako
AMUN RA
Asante sana kwa baraka!
Hivi ndivyo nilivyo tangu mdogo!
Ni msichana
18 years!
Namwombea all the blessings from the Almighty Supreme Creator of the Universe!
Indeed!
My dearest!
 
Back
Top Bottom