mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nimekupata mkuu japo nusu nusu. Kwa sasa unashabikia timu gani?Mkuu, watu tunawajua akina, Albert Einstein, Isaac Newton, Galileo Galilei, sasa kweli tutashindwa kuwajia akina Thiery Henry wa juzi hapa! [emoji3]
Ni mwanafunzi wa somo la siasa mwenzetuMhenga mwenzetu huyu
Hadi sasa ni 2-0Nshafika shemeji. Aseno yaani raha ajabu. Bado moja au tushaongezewa mengine? Nilitabiri juzi kuwa likely tutapigwa tatu kavu. Ngoja tuone !!!
Wewe mwanamke humu unatafuta nini likes nazokupaga hazikutoshi?
[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huna maana kabisaNilikuwa bado nampiga mateke Bi. Mkubwa ndani ya tumbo lake!
We are getting there. Kilio kwa Bob12, full magego kwa Mzee wa Livapuuu [emoji23][emoji23][emoji23]Hadi sasa ni 2-0
Mkuu ulisema unamkumbukaje mwalimu wako wa somo la SIASA?
Mkuu napata wine hapaMzee wa liver
Mzee wa
CantstopwontStop
HahahahahaPiga piga piga aooooo Piga hata 10
CantstopwontStop