Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Asante mkuu. Nawe unastahili tuzo ya utoaji wa likes bila kuchoka tena bila kubagua wala mbwembwe. Wewe na Mzee wa Liver. I applaud you !!!MYOYAMBENDI
ISIS
Shimba ya buyenze
NUMBISA
Mzee wa liver
MOUDGULF
Hawa lazima wapate ile zawadi ya MAUDHURIO bora mwisho wa muulaa
CantstopwontStop
Ni mengi mno...mpaka uyajue ndipo utashangaaYeah! Jamaa (Wamisri wa kale na Waroma) wameacha masalio ya miungu yao kila kona. Kuanzia siku za wiki, majina ya miezi, kwenye tiba na karibu kila sehemu. Nilikuwa na moto mwanzoni pale nikaanza kusoma soma mambo ya Goddess ISIS mwe mpaka nikaogopa nikaacha. Mambo haya yamefungamana mno na kile tukidhaniacho kuwa ndicho.
Siku hizi nikisikia AMUN RA, ISRAEL, AMEN, YAHWEH, YAHSHUA...basi nakaa kimya tu...
Goddess ISIS upo?
Mwanaume kizuruzi huyu kanchoshaLeo sijamuona kabisaa,labda atakuwepo MMU
HahahahahMYOYAMBENDI
ISIS
Shimba ya buyenze
NUMBISA
Mzee wa liver
MOUDGULF
Hawa lazima wapate ile zawadi ya MAUDHURIO bora mwisho wa muulaa
CantstopwontStop
[emoji106][emoji106][emoji106]MYOYAMBENDI
ISIS
Shimba ya buyenze
NUMBISA
Mzee wa liver
MOUDGULF
Hawa lazima wapate ile zawadi ya MAUDHURIO bora mwisho wa muulaa
CantstopwontStop
Mi nakufahamu wewe tu Numbisa huyo bluetooth hapanaHivi Unajua Jina La Bluetooth Limetokana Na Nini?
Romans 12:9
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]MYOYAMBENDI
ISIS
Shimba ya buyenze
NUMBISA
Mzee wa liver
MOUDGULF
Hawa lazima wapate ile zawadi ya MAUDHURIO bora mwisho wa muulaa
CantstopwontStop
ahahahaHah yupo kwenye simu yakoMi nakufahamu wewe tu Numbisa huyo bluetooth hapana
CantstopwontStop
Muongezee Mzee Rutta katika orodha hii ya wanafunzi bora...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MYOYAMBENDI
ISIS
Shimba ya buyenze
NUMBISA
Mzee wa liver
MOUDGULF
Hawa lazima wapate ile zawadi ya MAUDHURIO bora mwisho wa muulaa
CantstopwontStop
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Hydrological Cycle?