Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku ya jua ya Kigiriki
Yeah! Jamaa (Wamisri wa kale na Waroma) wameacha masalio ya miungu yao kila kona. Kuanzia siku za wiki, majina ya miezi, kwenye tiba na karibu kila sehemu. Nilikuwa na moto mwanzoni pale nikaanza kusoma soma mambo ya Goddess ISIS mwe mpaka nikaogopa nikaacha. Mambo haya yamefungamana mno na kile tukidhaniacho kuwa ndicho.

Siku hizi nikisikia AMUN RA, ISRAEL, AMEN, YAHWEH, YAHSHUA...basi nakaa kimya tu...

Goddess ISIS upo?
 
Ujinga ni kuwepo huku ulipo, ukiwa na afya njema na unajambo la msingi la kufanya. Na Ujaingia hapa JF kwenye uzi huu maalumu wa watu maalumu kujipatia likes

CantstopwontStop
Vipi kama una jambo la msingi la kufanya lakini umekwama hapa JF kwenye uzi huu maalum wa watu maalumu kujipatia likes kwa sababu upo addicted; na siku inapita na jambo hilo hujalifanya? Huo ni werevu?

In other words, nakusalimia bro.....
 
Yeah! Jamaa (Wamisri wa kale na Waroma) wameacha masalio ya miungu yao kila kona. Kuanzia siku za wiki, majina ya miezi, kwenye tiba na karibu kila sehemu. Nilikuwa na moto mwanzoni pale nikaanza kusoma soma mambo ya Goddess ISIS mwe mpaka nikaogopa nikaacha. Mambo haya yamefungamana mno na kile tukidhaniacho kuwa ndicho.

Siku hizi nikisikia AMUN RA, ISRAEL, AMEN, YAHWEH, YAHSHUA...basi nakaa kimya tu...

Goddess ISIS upo?
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom