myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes
Maarifa. Elimu. Ujuzi. Ni bahari pana. Mtu unaogelea tu kaeneo kako ukawezako. Unabobea mpaka na PhD unapata. Libahari lingine huko unawaachia wengine wanaendelea kuogelea. Ndivyo ilivyo....Ni mengi mno...mpaka uyajue ndipo utashangaa
Mkuu nawe toa likes sijaona likes zakolikes
AMUN RASpectacular
AMUN RA
AMUN RABeautiful
AMUN RA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vipi kama una jambo la msingi la kufanya lakini umekwama hapa JF kwenye uzi huu maalum wa watu maalumu kujipatia likes kwa sababu upo addicted; na siku inapita na jambo hilo hujalifanya? Huo ni werevu?
In other words, nakusalimia bro.....
Cole WilliamsthatonegAl
Habari yako
CantstopwontStop
We utapata zawadi ya utoro na maudhurio mabovu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Tuko pamoja bro. Tunaburudishana tu. Shemeji hajambo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilijua tu broo utatupia reasoning kidogo na Logic nakubali, ukiwa addict tutakupoza na likes Tu ili nafsi yako iburudike
CantstopwontStop
Ruta atapata zawadi ya MichezoMuongezee Mzee Rutta katika orodha hii ya wanafunzi bora...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha... Mbona hua naomba ruhusaWe utapata zawadi ya utoro na maudhurio mabovu
CantstopwontStop
YapNEFETITI
AMUN RA
Elimu ya watu wa zamani ni tofauti sana. Hakukuwa na teknilojia ya sasa..lakini waliweza kujenga,kusafiri,na kujitubu kwa hali ya huu. Waliweza kusoma nyota za angani na kupata majibu yaoMaarifa. Elimu. Ujuzi. Ni bahari pana. Mtu unaogelea tu kaeneo kako ukawezako. Unabobea mpaka na PhD unapata. Libahari lingine huko unawaachia wengine wanaendelea kuogelea. Ndivyo ilivyo....
AtonFascinating
AMUN RA
Ruhusa unamuomba mwalimu Wa Michezo badala ya mimi mwalimu Wa dhamuHahaha... Mbona hua naomba ruhusa