Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Elimu ya watu wa zamani ni tofauti sana. Hakukuwa na teknilojia ya sasa..lakini waliweza kujenga,kusafiri,na kujitubu kwa hali ya huu. Waliweza kusoma nyora za angani na kupata majibu yao
Ni mambo ya ajabu. Kuna watu wanaoamini kuwa teknolojia hiyo ya zamani imefichwa mahali na au pengine ni teknolojia kutoka malimwengu mengine huko na wenyewe waliamua kuondoka nayo. Katika mapiramidi ya Misri yale kuna mijiwe huko juu kabisa ina uzito wa karibia tani 30+. Hata na macrane makubwa ya leo kuipandisha huko bado ni tatizo; na mpaka leo wanasayansi hawajajua hayo mapiramidi yaliwezekanaje kujengwa.

Kule Peru kuna hekalu moja la zamani sana kuna ukuta una mawe mazito yenye tani 80 na yameunganishwa kwa ustadi wa kushangaza. Yaani yamechomelewa kabisa tena kwa teknolojia ya welding ambayo hata leo hii haiwezekani.

Kitabu cha Erich Von Daniken kiitwacho Chariots of the Gods na kipindi cha Ancient Aliens kinachorushwa na History Channel vinaeleza vizuri mambo haya. Maarifa ni bahari...
 
Yeah! Jamaa (Wamisri wa kale na Waroma) wameacha masalio ya miungu yao kila kona. Kuanzia siku za wiki, majina ya miezi, kwenye tiba na karibu kila sehemu. Nilikuwa na moto mwanzoni pale nikaanza kusoma soma mambo ya Goddess ISIS mwe mpaka nikaogopa nikaacha. Mambo haya yamefungamana mno na kile tukidhaniacho kuwa ndicho.

Siku hizi nikisikia AMUN RA, ISRAEL, AMEN, YAHWEH, YAHSHUA...basi nakaa kimya tu...

Goddess ISIS upo?
Elimu haina mwisho endelea kusoma mkuu
 
Back
Top Bottom