[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] mida ya kumtafuta Mjomba HiiNpo Mwalimu
I see your girl post her BM, so I hit her in her DMdown In the DM
CantstopwontStop
Tunapigwa au tunapiga???Jamani Aseno tunapigwa saa ngapi? Nimeshajipikilisha mapema leo, na popcorn zipo ni kuzitupia kwenye maikrowevu tu. Niko rede vibaya sana japo mpira wa kuangalia pekee huu nao mhhh !!!
ukiona hivyo like ni muhimu kuliko hilo jamboVipi kama una jambo la msingi la kufanya lakini umekwama hapa JF kwenye uzi huu maalum wa watu maalumu kujipatia likes kwa sababu upo addicted; na siku inapita na jambo hilo hujalifanya? Huo ni werevu?
In other words, nakusalimia bro.....