Wapi tena[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] mida ya kumtafuta Mjomba Hii
CantstopwontStop
18 :00 PMJamani Aseno tunapigwa saa ngapi? Nimeshajipikilisha mapema leo, na popcorn zipo ni kuzitupia kwenye maikrowevu tu. Niko rede vibaya sana japo mpira wa kuangalia pekee huu nao mhhh !!!
Ujio wa dini ndio uliosababisha kufichwa/kutofundishwa baadhi ya elimu hizo...mabaki ya elimu hizo yapo baadhi ya maeneo..Ni mambo ya ajabu. Kuna watu wanaoamini kuwa teknolojia hiyo ya zamani imefichwa mahali na au pengine ni teknolojia kutoka malimwengu mengine huko na wenyewe waliamua kuondoka nayo. Katika mapiramidi ya Misri yale kuna mijiwe huko juu kabisa ina uzito wa karibia tani 30+. Hata na macrane makubwa ya leo kuipandisha huko bado ni tatizo; na mpaka leo wanasayansi hawajajua hayo mapiramidi yaliwezekanaje kujengwa.
Kule Peru kuna hekalu moja la zamani sana kuna ukuta una mawe mazito yenye tani 80 na yameunganishwa kwa ustadi wa kushangaza. Yaani yamechomelewa kabisa tena kwa teknolojia ya welding ambayo hata leo hii haiwezekani.
Kitabu cha Erich Von Daniken kiitwacho Chariots of the Gods na kipindi cha Ancient Aliens kinachorushwa na History Channel vinaeleza vizuri mambo haya. Maarifa ni bahari...
Jamani Aseno tunapigwa saa ngapi? Nimeshajipikilisha mapema leo, na popcorn zipo ni kuzitupia kwenye maikrowevu tu. Niko rede vibaya sana japo mpira wa kuangalia pekee huu nao mhhh !!!
HapanaUnataka kwenda na wewe??
CantstopwontStop
Tena die hard fan[emoji85] [emoji85] [emoji85]Na wewe aseno???
CantstopwontStop
JakitooI see your girl post her BM, so I hit her in her DM
All eyes yeah I see 'em.....[emoji445] [emoji445] [emoji445]