Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni mambo ya ajabu. Kuna watu wanaoamini kuwa teknolojia hiyo ya zamani imefichwa mahali na au pengine ni teknolojia kutoka malimwengu mengine huko na wenyewe waliamua kuondoka nayo. Katika mapiramidi ya Misri yale kuna mijiwe huko juu kabisa ina uzito wa karibia tani 30+. Hata na macrane makubwa ya leo kuipandisha huko bado ni tatizo; na mpaka leo wanasayansi hawajajua hayo mapiramidi yaliwezekanaje kujengwa.

Kule Peru kuna hekalu moja la zamani sana kuna ukuta una mawe mazito yenye tani 80 na yameunganishwa kwa ustadi wa kushangaza. Yaani yamechomelewa kabisa tena kwa teknolojia ya welding ambayo hata leo hii haiwezekani.

Kitabu cha Erich Von Daniken kiitwacho Chariots of the Gods na kipindi cha Ancient Aliens kinachorushwa na History Channel vinaeleza vizuri mambo haya. Maarifa ni bahari...
Well said bro Mimi sichoki kusoma kwa kweli nitasoma mpka naingia kaburini even katika Forex trading mzee ni kujifunza kila Siku
Weekend unaenjoy kwa sana
 
Back
Top Bottom