Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Na nikivuta waya wa simu
CantstopwontStop
CantstopwontStop
AsanteKaribu sana Mkuu
Hahahahaha
Hahahahaha karibu sana mkuuHiyo elimu nimeiogopa. Nitasubiri mpaka siku nitakapokutana nanyi (we na Goddess).
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sis bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
Nami umenitupia kwenye ignore list kwa muda nini? Yaani likes zako sizisomi kabisa. Niondoshe huko plizi. Sistahili kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu hata mimi nilimwambia kuwa aache vitisho na aliandike jina la Mungu sawa sawa !!!
Opportunity costukiona hivyo like ni muhimu kuliko hilo jambo
Muda wa jioni saa kumi na mbili kwa saa za afrika masharikiJamani Aseno tunapigwa saa ngapi? Nimeshajipikilisha mapema leo, na popcorn zipo ni kuzitupia kwenye maikrowevu tu. Niko rede vibaya sana japo mpira wa kuangalia pekee huu nao mhhh !!!