Hatimaye leo ndio leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji243] [emoji243] [emoji233] [emoji233] [emoji239] [emoji240] [emoji241] [emoji242] [emoji238] [emoji243] [emoji234] [emoji233] [emoji231] [emoji230] asiye na timu ya kushabikia mifugo hiyoo ikachungweHatimaye kesho hiyooo ndio kesho.Ule mpambano wenye ushabiki mkubwa umewadia,tutegemee kumuona Bob12 mawinguni akishuhudia kwa mbwembwe.
Watangulizi ni ISIS wa mzee wa liver VS jakitoo wa shimba ya buyenze,watahenyeshana hao mpaka wa Masaki aombe poo...
Ndipo mzee wa liver asiye na nongwa ataingia uwanjani dhidi ya shimba ya buyenze ambaye furaha yake ni kushindwa.Hakika SYB atapigwa raundi ya tatu,na atashangilia saaaaaaanaa hadi Bob12 atadondoka toka mawinguni kama mvua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ha wa yuuuni livapuli vs aseno...
You are such a wonder WomanUsikate tamaa eeh
Mmhhh!!acha tu mawazo yang yapo mbali kwa kweli
Kuna ubuyuKwani na mimi nipo kwenye kundi hilo? Ila kweli sina kadi ya kliniki[emoji19] [emoji19] [emoji19]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji11] [emoji11] [emoji11]
Mwanangu viv kakusonya
Nyongeza*NAKUKUMBUSHA TU: Ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo;*
1. Ni bei ya sato kilo moja
2. Kuku wa nyama mmoja
3.kilo 2 za nyama ya ng'ombe
4.Sukari kilo 3
5. Donna kilo 4
6. Mchele kilo 4 super kabisa
7. Maziwa ya ng'ombe lita 5
8. Soda take away 10
9. Castle lite 4
10. Petrol lita 5
11. Nauli ya safari 13 za mwendo kasi
12. Chocolote ivory ndogo 20
13. Mayai tray mbili kizungu
14. Nauli na kiingilio cha mechi ya Simba na Yanga
[emoji3][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Msalimie baby vivi ila mwambie si vizuri kusonya wakubwa[emoji23][emoji23][emoji23]ila amsonye wenga[emoji6][emoji6][emoji11] [emoji11] [emoji11]
Mwanangu viv kakusonya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakusaidia kushabikia mkuu[emoji11] [emoji11] [emoji11]
Mwanangu viv kakusonya
Nimesha mwambia asikate tamaaYou are such a wonder Woman
My love embu mshahuri asikate Tamaa
CantstopwontStop