Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-26-22-14-21.png
 
Hatimaye kesho hiyooo ndio kesho.Ule mpambano wenye ushabiki mkubwa umewadia,tutegemee kumuona Bob12 mawinguni akishuhudia kwa mbwembwe.
Watangulizi ni ISIS wa mzee wa liver VS jakitoo wa shimba ya buyenze,watahenyeshana hao mpaka wa Masaki aombe poo...

Ndipo mzee wa liver asiye na nongwa ataingia uwanjani dhidi ya shimba ya buyenze ambaye furaha yake ni kushindwa.Hakika SYB atapigwa raundi ya tatu,na atashangilia saaaaaaanaa hadi Bob12 atadondoka toka mawinguni kama mvua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ha wa yuuuni livapuli vs aseno...
 
Back
Top Bottom