Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ubishi upo kwenye usafirishaji wa matokeo ndiyo ubishi ulipo
kwa kujitetea mpo vzr[emoji23] [emoji23]Magoal ya penalt Man hatutumii maana tunajua kutegeneza move bila penalt[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dalali wa viwanja visivyopimwa we mzee vipiBila upendo wa kweli vurugu za kichwa kichafu zisingeacha salama ndoa ya cole williams na mwenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
babe SDadako babe s alinifirisi tu,
Nadhani wajua jinsi maisha yake yalivyo ghari,
Kwa ajili ya upendo nilijaribu kujilazimisha kununua kila hitaji lake,
Niliuza karibu kila nilichokuwanacho lkn mahitaji yakazidi kuwa makubwa kuliko awali.
Kichwa kichafu akanishauri tujaribu njia ya mkato ili tupate pesa,
Yeye akawa na gobore lake alilomirikishwa na babu yake,
Akapanga twende sehemu kwa bahati mbaya nikawa mgonjwa, akaamua aende yeye tu
Kwa bahati nzuri akakutana na gari la bolize,
Kichwa akajaribu kukimbia bahati nzuri kakanyaga ganda la ndizi kaanguka chini,
Kwa haraka borize wakamdaka kipigo chake sasa!
Huo ndo ulikuwa mwanzo wa kumkwepa babe s.
Sasa hivi akipiga simu sitamani kupokea maana sina kila kitu nitamwambia nini?
Na gari langu mgongo wa chura tulilokuwa tunatumia nae limechoka sana na sina mpango wa kuliuza ingawa sina chochote mfukoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utoki Colombia Mimi kwetu Colombia huyu hakuna kesi ni mochuari kabisaHii ingekuwa kule kwetu Colombia, Lukaku angekuwa na kesi ya kujibu hapa! [emoji3]
Hii ingekuwa kule kwetu Colombia, Lukaku angekuwa na kesi ya kujibu hapa! [emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sa iv hataki tena.....Hakuna hawa. Hawatakaa waelewane kamwe. Ningekuwa tapeli hata Mchina ningemkamua ng'ombe lakini ameshateseka vya kutosha...
Mchina umeanza
Boss boss ho chi minh alikuwa na mashtaka mengi sana alikuwa dalali wa viwanja tapeli sana huyoKichwa kichafu
Hizi post zako nitazijibu kesho [emoji124] [emoji124] [emoji124]Aiseeh unabahati upo mbali polini kule ila ungekuwa umerudi usingekaa hapa kwa mbwembwe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ok, pole sana... Kwa kweli....mi mwenyewe nimebanana siku hizi... Lbd kama leo hiviMajukumu Babe S,
Nafasi ikipatikana lazima tuwemo humu.
Nawe haujakuwepo kipindi
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Poa pamoja we miss u so muchSijambo mkuu.
Hofu kwako
Mzee wa kuuza viwanja vya open space we mzee dalali gani huo
Sema tu na kichwa kichafu,nani asiye kujua mahaba yaliyopo?Mwambie aje...amlete na ho ch minh na wengine wote...
Hapo juu kuna mzee anajifanya dalali wa viwanja kumbe open space[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ho chi Minh
Kichwa kichafu
Uniq
Andjul
Bob 12