Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Time is an illusion !!!
Teh teh! Kesi gani tena andjul!??Umeamua kumtanguliza? Una kesi ya kujibu humu leo
Punguza kupuliza cha Arusha mkuu. Na uache kuchanganya changanya....
Zimeanza kuadimika adimika. Wahi ila na wewe toa ulizokuja nazo !!!
Mwambie aje...amlete na ho ch minh na wengine wote...Nipo poa mama. Nime mkaribisha Andjul tuje kula ngisi huko kwako
Nimekumith...Morning Love
Tena muache babe S wanguNajua hutaki habari hizo.
Haya basi walikuwa wanazungumzia mambo ya biashara.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kumbe bado una pambana na bishara ya kibamia chako.....Zitoshe wapi? Yaani zinachukuliwa mara zipelekwe kwa kichwa kichafu,muda mwingine nisingiziwe mahari sijamalizia ili mradi ni tafrani tu.Bila biashara ya maparachichi na bamia sijui misambwa...ningeionea wapi mie???
Mimi nitakuja kama mlinda amani, in case Mpare na Mchina wakiamua kuzichapa kavu kavu....Mwambie aje...amlete na ho ch minh na wengine wote...
Shemeji upooNalimhola bageshi. Nilipoteza ile avatar yangu. Kwema wewe? Mpare na Mchina wapo hapa wanapapurana. Afadhali umekuja.
Weeeee weeee weeeee!!!!! 1.Bob12, 2.Bob12, 3.Bob12, 3.ho chi..., 4.kichwa...,5.mzee....Nime sikia wewe ndio bingwa wa mronge
Hahahaha.....nimemuona uniq leo....Usha changanyikiwa tayari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
TuacheeeeUmeamua kumtanguliza? Una kesi ya kujibu humu leo