Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
haaaaahaaaaaaa mkuuToa likes kwanza ndo utapata wateja !!!
Duhh! Mzee wa ini umeamua kuniharibia mapokezi kabisa??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee wa misamb.........
Nime sikia wewe ndio bingwa wa mrongeNgisi wa nini?? Agiza maparachichi,mihogo,karanga, mafenesi,korosho na ugali wa kushiba kila siku.... Nakunong'oneza tu "jiandae kumuona shimba ya buyenze akimfuata dadaake,kisa? Kazi unazo mfanyisha hazipo kwenye mkataba wa ng'ombe 30" achana na mlonge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Starehe gani utakoswa?Itabidi tuongee nae BAK,nimemuona tangu jana na asubuhi leo, hasira yake kwenye kujibu hoja ilikuwa kiwango cha juu sana.Leo alikuwa na uzi kule, loh!!! Haya mambo na uzee wangu watanitengua kiungo nikose starehe buree
Kweli kabisa mkuuSiasa hazifai kwa mtu usiyenufaika nazo moja kwa moja.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
kama mondi vileee
Atakuwa Babe S wa kichinaMkali wao,
Lakini akae akijua kuna mtu nimemuona kakaa na babe s kwenye gari nadhani walikuwa wanasikia baridi sbb walisogeleana kwa ukaribu usio wa kawaida.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app