myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
21:08
Zitoshe wapi? Yaani zinachukuliwa mara zipelekwe kwa kichwa kichafu,muda mwingine nisingiziwe mahari sijamalizia ili mradi ni tafrani tu.Bila biashara ya maparachichi na bamia sijui misambwa...ningeionea wapi mie???Mstaafu mwenzangu wewe pensheni zinakutosha ama nawe hazitoshi?
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahaha nimesha kuambia. Labda watu waache kula kuku.Kuna mtu atafungwa tu maana naona matumizi yanamuandama.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nalimhola bageshi. Nilipoteza ile avatar yangu. Kwema wewe? Mpare na Mchina wapo hapa wanapapurana. Afadhali umekuja.Gawiza!? Naona umebadilika....
Umeamua kumtanguliza? Una kesi ya kujibu humu leoBaby.......dah!!!! Sijakuona siku nyingi hum, leo nimekuotea! Mzima!?
Una moyo kama shabiki wa timu fulaniAtakuwa Babe S wa kichina
Mi naendaga huko nikitaka kutest zali. Yaani watu wana hasira balaa !!!Itabidi tuongee nae BAK,nimemuona tangu jana na asubuhi leo, hasira yake kwenye kujibu hoja ilikuwa kiwango cha juu sana.Leo alikuwa na uzi kule, loh!!! Haya mambo na uzee wangu watanitengua kiungo nikose starehe buree
Kesho ntaleta pia liverpool vs arsenal
Hivi misamb ina radha gani?Zitoshe wapi? Yaani zinachukuliwa mara zipelekwe kwa kichwa kichafu,muda mwingine nisingiziwe mahari sijamalizia ili mradi ni tafrani tu.Bila biashara ya maparachichi na bamia sijui misambwa...ningeionea wapi mie???
HahahàhahhahMstaafu mwenzangu wewe pensheni zinakutosha ama nawe hazitoshi?
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app