mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
IndeedNiligundua humu,kuna
Mzee wa liver
Wazee wa arsenal
Wazee wa man u.
Ila napenda kuwaambia hata wazee wa Chelsea tupo.
Mzee wa liver ni mmoja tu
IndeedNiligundua humu,kuna
Mzee wa liver
Wazee wa arsenal
Wazee wa man u.
Ila napenda kuwaambia hata wazee wa Chelsea tupo.
Siasa hazifai kwa mtu usiyenufaika nazo moja kwa moja.Du ndio shida ya masiasa
Hahahha weww osha macho tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yangu macho
Poa mkuu
Mimi na Man U mbali mbali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nilijua upo uwanjani hukooo Man U...
Kuna mtu atafungwa tu maana naona matumizi yanamuandama.Hakuna mpambano tone mzee wa tezi dune kakubali hamuwezi Babe S
Zimeanza kuadimika adimika. Wahi ila na wewe toa ulizokuja nazo !!!Like bado zipo?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Jiwe gizani....sijuiMkali wao,
Lakini akae akijua kuna mtu nimemuona kakaa na babe s kwenye gari nadhani walikuwa wanasikia baridi sbb walisogeleana kwa ukaribu usio wa kawaida.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mtoto kafika kwa mpare ambae sio mbahiliWewe mkali
Mstaafu mwenzangu wewe pensheni zinakutosha ama nawe hazitoshi?Umembana mstaafu hadi nimemuonea huruma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]