ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Natumai mimi na Uniq hatuwezi kukaa viti jirani,Mimi nitakuja kama mlinda amani, in case Mpare na Mchina wakiamua kuzichapa kavu kavu....
Namuona yuko na hasira kali sbb matumizi yamemuelemea na kifungo sioni km atakiepuka.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app