carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kama umeuona ule uzi wa hotuba ya rais UK aliuleta mwenyewe BAK...Loh!!! siasa wabaki nazo wenyewe.Hata MMU nayo naiogopa siku hizi kwa mimaneno ya kuumizana.Ngoja nimfuate Numbisa kuna sehemu nilimkuta....Mi naendaga huko nikitaka kutest zali. Yaani watu wana hasira balaa !!!
Ngoja niyaulize macho yangu,naja mkuu...
Teh teh teh najua unaumia kweli
Ni wewe niliekukuta kule zilipendwa? Nakaomba kale kapicha ulikokatumia kumzodoa mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Man u 2 kwa 0
Magoal ya penalt Man hatutumii maana tunajua kutegeneza move bila penalt[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani umeonaje? Unashindwa hata kupiga chabo,mwanafunzi gani wewe?Mzeee wa nini?????
Hahaaha,kapicha kapi hako?Ni wewe niliekukuta kule zilipendwa? Nakaomba kale kapicha ulikokatumia kumzodoa mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji106]Welcome back. Bado mambo yanasonga...
Sisi wazimaWazima lkn wakuu?
Hahahahaha shabikia liver bhanaSisi tusioshabikia timu yoyote ngoja tuendelee kutafuna popcorn tu hapa! [emoji3]