Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ile vita yako na Mpare kumgombania dadangu Baby S haikukuacha salama. Naona mpaka misimamo yako imebadilika. Safi sana !!!
Dadako babe s alinifirisi tu,
Nadhani wajua jinsi maisha yake yalivyo ghari,
Kwa ajili ya upendo nilijaribu kujilazimisha kununua kila hitaji lake,
Niliuza karibu kila nilichokuwanacho lkn mahitaji yakazidi kuwa makubwa kuliko awali.

Kichwa kichafu akanishauri tujaribu njia ya mkato ili tupate pesa,
Yeye akawa na gobore lake alilomirikishwa na babu yake,
Akapanga twende sehemu kwa bahati mbaya nikawa mgonjwa, akaamua aende yeye tu
Kwa bahati nzuri akakutana na gari la bolize,
Kichwa akajaribu kukimbia bahati nzuri kakanyaga ganda la ndizi kaanguka chini,
Kwa haraka borize wakamdaka kipigo chake sasa!

Huo ndo ulikuwa mwanzo wa kumkwepa babe s.
Sasa hivi akipiga simu sitamani kupokea maana sina kila kitu nitamwambia nini?

Na gari langu mgongo wa chura tulilokuwa tunatumia nae limechoka sana na sina mpango wa kuliuza ingawa sina chochote mfukoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
efb5c3a4ac03952f049a3a19d856d72d.jpg
We Mzee ww

CantstopwontStop
 
Back
Top Bottom