myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku unasonga mbele
new avatar. Ipo vizuriPole pumzika tu
Kwa kuharibu majina ya wenzio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji4][emoji4]santeWaaow
new avatar. Ipo vizuri
Hahahah una utani na kipande cha baharini wewe. Sisi sio midebwedoSio kibamia changu, uwe na adabu. Nimesema biashara ya maparachichi na bamia nyingi tu.Nabeba kwenye fusso kuwaletea huko nyie midebwedo.
Nalipia na kuku wanguUlizo lipiwa ada
TupoMmelala!??
Mzee wa Tukuyu, habari yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zee tapeli hili
Muulize yeye si alijifanya ana vamia ziziDu aliishije
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hatimaye kesho hiyooo ndio kesho.Ule mpambano wenye ushabiki mkubwa umewadia,tutegemee kumuona Bob12 mawinguni akishuhudia kwa mbwembwe.
Watangulizi ni ISIS wa mzee wa liver VS jakitoo wa shimba ya buyenze,watahenyeshana hao mpaka wa Masaki aombe poo...
Ndipo mzee wa liver asiye na nongwa ataingia uwanjani dhidi ya shimba ya buyenze ambaye furaha yake ni kushindwa.Hakika SYB atapigwa raundi ya tatu,na atashangilia saaaaaaanaa hadi Bob12 atadondoka toka mawinguni kama mvua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ha wa yuuuni livapuli vs aseno...
Kama kawaidaLikes za usiku
Afadhali...mzima wewe!?Tupo
Nasubiri Cole abadilishe tu,nikumbushie makubaliano yetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji4][emoji4]sante