andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yupo Liwale na ana safari ya Nampula,sipati picha hiyo safari itakavyo kuwa ngumuKapanda kwenye kichuguu na kapigwa za uso.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yupo Liwale na ana safari ya Nampula,sipati picha hiyo safari itakavyo kuwa ngumuKapanda kwenye kichuguu na kapigwa za uso.
Bob pole sana doohCarba naomba petrol na kibiriti.
Cole naomba gobole walahi naua mtu
Heee na wewe baba viv[emoji23][emoji23][emoji23]hongeraBaba Viv mwenzangu (hata mimi anaitwa hivyo) usijali,huu mwaka wa Asenali nakwambia...Ndoo inatua msimbazi kweupeeee peeee.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha wewe nitafute na wenzakonwa jangwani kidogo walale
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nakupanda kote juu ya mti ndio umeambulia kipigo
Nishapoa baby mi nimeacha kushabikia mpira[emoji125] [emoji125] [emoji125] Ntakuwa nakupooza mkifungwa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Angalia vizuri. Halipo [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️. Na kama ni mahakamani nashinda kesi kwa ulaiiiniiii...
Pole kwa hizi goli nne za Wenga baby....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kapanda kwenye kichuguu na kapigwa za uso.