Halafu unajua numbisa hii idea ya mlonge nilimpenyezea mimi,kwa hiyo nina ujuzi na hili swala[emoji23] [emoji23] [emoji23]Weeeee weeeee weeeee kwa ushauri wa Numbisa kweli?
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Mtu kwenye akili timamu hawezi kuruhusu wachezaji watatu waondoke bure baada ya kumaliza mikataba yao., na baadaye you spend around $150m kutafuta replacement. This tells you that Arsenal board and management are bunch of fools.
Tena si kidogoHahahah
leo leo lazima wamkomeee
Muacheni tu jamani,mbona hata ruvu walipigwa 7 bila ila hawajalalamika.Huyu mzee nikitoka huku msumbiji ya Tanzania walahi nampandia pipa kwenda kum[emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji378]
Hongera BobNipo Liwale/Msumbiji ya Tz,sikuwahi tegemea nitafika huku,kukutana na wanyama pori ni kama kukutana na likes za humu
Ila huku niliko hata 2G ni shidaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]4G inashika vizuri sana huku mitaani
CantstopwontStop
Poleni sana waungwana, ila ukiwa na mwanaume anaeishabikia arsenal basi ujue huyo ni mvumilivu kwa kila kitu. Huyo km ni mke apewe tu hata bila mahari.[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hii arsenal bhana
[emoji15] [emoji15]Hongera Bob
Kwhy hapa uko juu ya mti una search net ama?Ila huku niliko hata 2G ni shidaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeeh jamani si unawaona live bila chenga[emoji15] [emoji15]
Hongera kukutana na simba,tembo....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Muacheni tu jamani,mbona hata ruvu walipigwa 7 bila ila hawajalalamika.
Ndivyo wanavyojifariji? Hahahah dah[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Walisema ni muujiza tu kama Daudi alivyomua Goliath
Masaubwire anakwambia hata Brazil timu ya dunia ilikula 7 tena nusu final ya world cup[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndivyo wanavyojifariji? Hahahah dah
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Poleni sana waungwana, ila ukiwa na mwanaume anaeishabikia arsenal basi ujue huyo ni mvumilivu kwa kila kitu. Huyo km ni mke apewe tu hata bila mahari.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwhy hapa uko juu ya mti una search net ama?
Aisee huyu Simba bora apite pembeni ila tembo niliwaona hapa selous jumamosi,amazing creaturesEeeh jamani si unawaona live bila chenga
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Pole Kamanda Timu sio Kabila unaweza kuhama Tu, kwani bei gani
Safari njema huko msalimie hassani
CantstopwontStop
Hahhahaha uuuuh pole[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Network huku inapanda na kushuka ila hapa nilipo ni afadhali kidogo,nikihama hatua 6 hata 2G inakata
Eti nimekutamani ghafla.Aisee huyu Simba bora apite pembeni ila tembo niliwaona hapa selous jumamosi,amazing creatures
Ndo hivo wanasemaga mwanaume kuhangaika mwanaume kutafutaHahhahaha uuuuh pole