Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ushaamka? Cheichei bibie!
Usingizi umekata ghafla,cheichei(sijui ndo wanaitikia hivyo?
Aisee hongera sana kwa kupiga mtu 4 bila.Karibu nsamaka hongera kwa ushindi saba bila
Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120]Muwe na siku njema na mwanzo mzuri wa wiki.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]![]()
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yupo Liwale na ana safari ya Nampula,sipati picha hiyo safari itakavyo kuwa ngumu
2152-12[emoji117] 229-22Lol.... Saveji giredi wani[emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Huyu mzee nikitoka huku msumbiji ya Tanzania walahi nampandia pipa kwenda kum[emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji378]View attachment 576225 mnaonaje ..Wenger aendelee kuifundisha arseanl au tumfkuze tu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nakutakia safari njema yenye matokeo chanya.Mungu akakutangulie kwa kila kitu[emoji120] [emoji120]
Nipo Liwale/Msumbiji ya Tz,sikuwahi tegemea nitafika huku,kukutana na wanyama pori ni kama kukutana na likes za humuBob wapi tena??[emoji22][emoji22]