AsanteMi ni Liverpool wa kufa na kuzikana, pole yako hainihusu. Pole yako mpe Bob12
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema huko ndugu
Tunamshukuru Muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo kwa neema hii ya kuwa salama.Kwema huko ndugu
Huwa kuna wengine hawataki Hata kukumbuka..Dar ilikuwa nyingine...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekaa Ntwara kwa miaka mitatu mfululizo...neema zao nilizipata kwa kweli.Hasa wakijua unatokea Dar,basi, unavamiwa na kila mrembo.Bhaa!!! Kwani je???Andjul nakuona nakuona
liwale kuna misambwanda hadi siamini
Pole kwa yaliyokupata mkuu,Kwema huko ndugu
Kwema kabisa mkuuSafi kabisa
kwema?
Tupo tunapambana na hali zetuKwema kabisa mkuu
Nashukuru kwa kujali mkuu.Huyo mtoto wa Tmk ni tatizo sana