Shemeji mwanafunzi,labda yuko class hahaha
Shemeji mwanafunzi,labda yuko class hahaha
Taarifa zake carba atakuwa anajua.
Yaaaalah mkuu, huyu hata usingemuulizia kbs.
Roho yangu mm, tukuyu moja hiyoooo.
Wala halina utamu wowote,ukitaka kupita mbele za watu mawazo kibao hahahha. Kitu portable baba easy to carry , easy to handle. Wajanja wote wamekimbilia huku kwetu. Amazing figure,shape imetulia hahahahah na inasomeka.Hahahah
eti limsambwanda likubwa la nini
tamu wewe
Nsamaka Nimekuota tukiwa pamoja kwenye bustani nzuri usiku uliopitaNzuri mpenzi
Sasa ww unataka huyu muhenga aanze usumbufu wake na wakati sasa hv katulia.Ataiona comment
Maweeee hapa akiona andjul tu nimekwisha mm.Nsamaka Nimekuota tukiwa pamoja kwenye bustani nzuri usiku uliopita
Sent using Jamii Forums mobile app
Msambwanda ni burudani ya machoHahahha msambwanda kitu gani? Mbona andjul kaniweka ndani na ka msambwanda kangu kadogo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Sio wanyama tu, keshasema hata misambwanda inamburudisha pia hahahah
I love you too, ila nimejibu polepole ili yule muhenga asisikie.
Umeona eeeh lkn sio kusema ndio kila kitu.
Arsenal msimu uliopita tulichukua point zote 6, na tayari msimu huu tumeshachukua 3 tunasubiri nyingine 3Hongereni sana,mweh 4 bila aiseee. Masikini arsenal.
Ila poleni tu kwa kipigo cha janaArsenal msimu uliopita tulichukua point zote 6, na tayari msimu huu tumeshachukua 3 tunasubiri nyingine 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana naye toroka,I love you too, ila nimejibu polepole ili yule muhenga asisikie.
Msambwanda siyo kila kituUmeona eeeh lkn sio kusema ndio kila kitu.
Mi ni Liverpool wa kufa na kuzikana, pole yako hainihusu. Pole yako mpe Bob12Ila poleni tu kwa kipigo cha jana
Mh