Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
PoleWe acha tu Mkuu, nilijua tunafungwa lakini sikutegemea kipigo kizito hivi.
Hahaha niliishiko miaka miwili bhabha.Umejitahidi bana! Gawiza, wamisha mhola?
We shiiiiii kimyaMbona umekomalia hivyo
Andunje sorry andjul anajua?
Wala, hata sie tusio nayo mbona tuko fresh tu. Kwanza li msambwanda likubwa la nn? Ingekuwa hivyo andjul asingeniweka ndani.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mwanamke msambwanda
Aiseee we mdada, hv upo kumbe? Umeadimika sana km shilingi ya magu,mwehNawatakia jumatatu njema
Nzuri mpenzi
HahahahWala, hata sie tusio nayo mbona tuko fresh tu. Kwanza li msambwanda likubwa la nn? Ingekuwa hivyo andjul asingeniweka ndani.
Myoyambendineema
Naam mkuu
Ataiona commentWe shiiiiii kimya
Hahahha msambwanda kitu gani? Mbona andjul kaniweka ndani na ka msambwanda kangu kadogo.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mwanamke msambwanda[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji57]Nimeona si jambo jema kuanza siku bila kuwapa pole ndg zangu wa arsenal.
Na kuwatakia asb njema wote
AsanteMwenyezi Mungu awajaalie kheri na baraka jumatatu na wiki yote hii nyiynyi na mimi pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wanyama tu, keshasema hata misambwanda inamburudisha pia hahahah
Muulize mzee wa liver
Hongereni sana,mweh 4 bila aiseee. Masikini arsenal.
Check nae pande za kibiti
Mzee wa mafao