Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mwanamke msambwandaWe nae sasa unaanza unyanyapaa kwa sie tusio na misambwanda ya haja hahaha.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mwanamke msambwandaWe nae sasa unaanza unyanyapaa kwa sie tusio na misambwanda ya haja hahaha.
[emoji5] [emoji5] Usifanye hivyoo buana..... Um sorry babeItabidi nikupige marufuku kuingia katika uzi huu hata kwa mwezi mzima kwa sababu unakoelekea siyo kuzuri. Halafu kesho kazini utakuwa umechoka balaa. Nikupigie nikugombeshe? UNANIUDHIIII !!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mwanamke msambwanda[emoji3]Mwanaume mashine bhana hahahah
Nawewe piaNawatakia jumatatu njema
Amen mkuuMwenyezi Mungu awajaalie kheri na baraka jumatatu na wiki yote hii nyiynyi na mimi pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwako pia babe SNawatakia jumatatu njema