moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahaha kumbe, hongera mkuuMi ni Liverpool wa kufa na kuzikana, pole yako hainihusu. Pole yako mpe Bob12
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa...Kumbe ukiwanalo hata kupita mbele za watu ni shughuli? Kitu portable eeh, pocket lover!Wala halina utamu wowote,ukitaka kupita mbele za watu mawazo kibao hahahha. Kitu portable baba easy to carry , easy to handle. Wajanja wote wamekimbilia huku kwetu. Amazing figure,shape imetulia hahahahah na inasomeka.
Hahaha habari ndio hiyoHaaa...Kumbe ukiwanalo hata kupita mbele za watu ni shughuli? Kitu portable eeh, pocket lover!
Chelsea
Nipo my dear brother
HahahahahSasa ww unataka huyu muhenga aanze usumbufu wake na wakati sasa hv katulia.
Nakuona pia kijana wa Mchafukoge! Kijana wa mitaa ya Cameo, Odeon, New Chox, hivi kuna vitu gani sehemu hizo siku hizi? Si unajua tena , siku hizi niko bara huku.
Mkuu,Nakuona pia kijana wa Mchafukoge! Kijana wa mitaa ya Cameo, Odeon, New Chox, hivi kuna vitu gani sehemu hizo siku hizi? Si unajua tena , siku hizi niko bara huku.