Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nawe pia yaonyesha ni mwenyeji eneo hili. Cameo imevunjwa, Tajiri aitwaye Baghdad ameweka jengo, Odeon ndipo ilipo DTV/Chanel ten, New chox kuna duka la Mohammed enterprise, Avalon duka la Tunakopesha ltd

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimekulia mitaa hiyo, hapo City Center! Pengine tukikutana tunaweza kufahamiana kwani wengi tuliokuwa tunaishi hapo down town tulikuwa tunafahamiana!
 
IMG-20170828-WA0027.jpg
 
Back
Top Bottom