moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nilitaka aingie tu kwani kuna watu wamekuja kulipa deni lake mkuu.
salama kwakoMyoyambendi
Mkuu huyo ni jamaa yangu nataka aingie na kuona jinsi watu wanavyonufaika na uzi huu
Si unakumbuka kitendo alichokufanyia uniq? Unoko haulipi ili maumivu makali tu