Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nakuona pia kijana wa Mchafukoge! Kijana wa mitaa ya Cameo, Odeon, New Chox, hivi kuna vitu gani sehemu hizo siku hizi? Si unajua tena , siku hizi niko bara huku.
Nawe pia yaonyesha ni mwenyeji eneo hili. Cameo imevunjwa, Tajiri aitwaye Baghdad ameweka jengo, Odeon ndipo ilipo DTV/Chanel ten, New chox kuna duka la Mohammed enterprise, Avalon duka la Tunakopesha ltd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20170828-WA0031.jpg
 
Back
Top Bottom