Teh
KweliUzuri hawa jamaa wanapenda kwao..
Mkuu,Hao vijana walionza kushabikia mpira enzi za 2005 wakati chelsea ndo inachomoza ndiyo wanahamahama timu hovyo ila sisi tulioshuhudia class of 92(wakubwa wataelewa) tunaamini katika timu moja hahahaha,tusibezane jamani ni mtazamo tu.
Shabiki wa United,Liverpool na Arsenal waje hapa tuzungumzie soka la zamani,hao wa chelsea na man city itabidi tuulize kwanza umri wao